Na Stella
MMbando
HAI
Wananchi wa Wilaya ya Hai wamehimizwa kuhifadhi na kutunza mazingira kwa kuotesha miti ili kuepukana na athari zitokanazo na
uharibifu wa mazingira kama ukame.
![]() |
Bi Asha afisa wa kata ya Masama Kusini akitoa mafunzo kwa wanufaika wa TASAF kabla ya kuanza zoezi la kuhawilisha fedha |
![]() | |
|
| Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Siha Onesmo Buswelu |