Tuesday, October 4, 2016

MATUKIO KATIKA PICHA: MWENGE WA UHURU 2016 WILAYANI HAI-KILIMANJARO

Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Siha Onesmo Buswelu







Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa George Mbijima akizindua mradi wa maji

Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa akipokea maelezo ya mradi wa barabara
Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa akiongoza wana-Hai kwenye hafla ya kuuaga mwenge wa Uhuru


Mkuu wa Wilaya ya Hai akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Moshi Kippi Warioba  (Picha zote na Adrian Lyapembile)

No comments:

Post a Comment