Friday, December 19, 2014

LAPF WATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI

 Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyotolewa na LAPF hivi karibunui




 Mtumishi kutoka  Idara ya Maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai akiuliza swali wakati wa mafunzo hayo



 Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai akichanjgia mada  wakati wa mafunzo yaliyotolewa na LAPF hivi karibunui



 Waliosimama ni wataalam kutoka LAPF


AAliyesimama wa kwanza mbele ni Afisa Utumishi wa Wilaya ya Hai akitoa maelekezo wakati wa mafunzo ya LAPF

No comments:

Post a Comment