Monday, September 1, 2014

MKIMBIZA MWENGE KITAIFA AVUTIWA NA USHIRIKIANO ULIOPO HAI


Mkimbiza Mwenge Kitaifa Ndugu Rachel Kasanda amefurahishwa na ushirikiano uliopo katika Wilaya ya Hai kati ya vyama vya siasa na kutaka Halmashauri zingine kuiga mfano huo.

Alitoa kauli hiyo katika nyakati tofauti wakati akikagua na kuzindua na kufungua miradi mbali mbali ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai katika mbio za Mwenge zilizofanyika Wilayani humu tarehe 22/08/2014.

























































No comments:

Post a Comment