Tuesday, January 13, 2015

SERIKALI YAANZA UKARABATI WA BARABARA ZA MJI MDOGO WA HAI


Na Mwandishi Wetu, Hai,Januari 13,2015

Wilaya ya Hai imeanza awamu ya pili ya ukarabati wa barabara za mji mdogo wa Hai wenye lengo la kuziimarisha zaidi kutokana na fedha za mfuko wa barabara zinazotolewa kwa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kwa  kila mwaka .

Ufafanuzi huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga baada ya baadhi ya wananchi kutoa malalamiko ya kwamba ukarabati huo ufanyika kwa kujimbua barabara na hivyo baadaye kusababisha adha kutimka kwa vumbi kwa wananchi wanaofanya shughuli zao pembezoni mwa barabara.

Makunga ameeleza kuwa ukarabati huo ambao umejionyesha katika taarifa ya matengenezo ya barabara wilayani Hai kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 aliyoitoa kwa umma mwezi Agosti mwaka jana.

Amesema ukarabati unaoendelea sasa kwa waliofuatilia taarifa hiyo ni ule uliopangwa kufanyika kufanyika kati ya Mwezi Januari hadi Machi mwaka huu ambao unahusisha barabara za Hai mjini zenye jumla ya kilometa kumi na mbili.

Kwa mwaka huu wa fedha serikali kupitia Mfuko wa barabara umeitengea halmashauri ya wilaya kwa ajili ya ukarabarati wa barabara ikiwemo ujenzi wa madaraja pamoja na makalvati kiasi cha shilingi 1,026,434,000 

Ameeleza kuwa ukarabari huo wa  barabara hizo unafanyanyika ili  kuziimarisha ikiwemo ya kuweka mitalo ya kutolea maji barabarani kwa ajili ya maandalizi ya kuweka lami kwa awamu angalau kwa kila mwaka kwa kilometa zisizopungua moja kwa kutumia makusanya ya ndani ya wilaya.

“Katika vikao vilivyopita vya Kamati ya Ushauri ya Mkoa(RCC) pamoja na Bodi ya barabara ya mkoa lilipitishwa azimio kwa kila wilaya katika mkoa wa Kilimanjaro ipange utaratibu wa kujenga angalau kilometa moja ya lami kwa kila mwaka kupitia makusanyo ya mapato ya vyanzo vya ndani ya wilaya”alifafanua Makunga.

Makunga ametaja barabara ambayo ukarabati huo utakuwa wa kiwango cha juu ni inayoelekea  katika hospitali kuu ya serikali ya wilaya ikiunganishwa na barabara kuu ya Moshi hadi Arusha.

Ametaja maeneo mengine kuwa ni pamoja na Gezaulole,Kingerera,Dorcas na Bomani ambapo jumla ya gharama za ukarabati huo ni shilingi milioni 44 kwa barabara hizo za mji mdogo wa Hai.

Makunga amewataka wananchi kuondoa wasiwasi ya aina ya ukarabati huo ambapo ameeleza kuwa umelenga kufanyika tofauti na miaka ya nyuma kutokana na sasa eneo la kata ya Hai kupanda hadhi na kuwa mji mdogo 

Mji mdogo wa Hai ina kata tatu ambazo niBomang'ombe,Bondeni na Muungano zenye jumla ya kumi na saba

Taarifa ya awali iliyolewa na mkuu huyo wa Hai mwezi Agosti mwaka huu ambapo baadhi ya kazi zilishafanyika ni hii ifuatayo;

ACTION PLAN FOR MAINTENANCE OF DISTRICT ROADS BY ROAD FUND FINANCE YEAR 2014/2015
PACKAGING OF WORKS
SN
Road Name
Type of Maintenance
Length (Km)
Approved Budget (Tshs)
Implementation Period
1
Construction of Mnepo bridge
Bridge Construction
1No.
357,000,000
July-September

Total Package No.1

0
357,000,000

2
Shirinjoro-Lyamungo Sinde
Lyamungo Sinde-Mfoni
Shirinjoro-Lyamungo Sinde
Lyamungo Sinde-Kyalia
Elitira Mengi-Kyalia
Shirinjoro-Lyamungo Sinde
RM
RM
SI
RM
RM
PM
12
3
2
4
2
2
14,400,000
3,600,000
10,000,000
4,800,000
32,000,000
32,000,000
July-September

Total Package No.2

25
96,800,000

3
Kwasadala – Longoi
Bomang’ombe – Kikavuchini
Kwasadala – Longoi
Bomang’ombe - Kikavuchini
RM
RM
SI
PM
12.5
12
2
3
15,000,000
14,400,000
10,000,000
48,000,000
July-Septemba

 Total Package No.3

29.5
87,400,000

4
Sonu – Saawe
Kwasadala – Uswaa
Kwasadala –Uswaa
Sonu – Saawe
Lambo – Makoa
Bwani - Kyeeri
RM
RM
PM
PM
RM
RM
4
5.6
1
4
5
4
4,800,000
6,720,000
16,000,000
64,000,000
6,000,000
4,800,000
October-December

Total Package No.4

23.6
102,320,000

5
Kyuu – Lukani
Lukani – Mashua
Kwa Frank – Kyuu
Mbweera – Ufisi
Lukani – Mashua
Marukeni – Kyuu
Marukeni - Kyuu
RM
PM
RM
SI
SI
SI
RM
4
2.79
4
1.4
2
2
7
4,800,000
44,640,000
4,800,000
7,000,000
10,000,000
10,000,000
8,400,000
October- December

Total Package No.5

23.19
89,640,000

6
Marukeni - Kyuu
PM
5
80,000,000
January-March

Total Package No.6

5
80,000,000

7
Hai Town Roads
KIA – Mtakuja
Hai Town Roads
Construction of 1No.Vented Drift
PM
RM
PM
Construction
10
7.3
2
1No.
12,000,000
8,760,000
32,000,000
20,000,000
January-March

Total Package No.7

19.3
72,760,000

8
Shirinjoro – Mijongweni
Mferejini – Kimashuku – Kwatito
Shirinjoro – Mijongweni
Construction of 1No.Vented drift
1No.Bridege Repair-Weruweru
RM
RM
SI
Construction
Repair
5.17
7
0.83
1No.
1No.
6.204,000
8,400,000
4,150,000
20,000,000
10,000,000
April - June

Total Package No.8

13
48,754,000

9
Culvert Installation(No. 1 – No. 8)


52,270,000
July’13 – June’14
10
Supervision and Vehicle Maintenance(No.1 – No.8)


39,490,000
July’13 – June’14

GRAND TOTAL

138.59
1,026,434,000


Abbreviations
RM – Routine Maintenance
SI -    Spots Improvement
PM – Periodic Maintenance

No comments:

Post a Comment