Friday, April 25, 2014

BARAZA LASISITIZA UMUHIMU WA BIMA YA AFYA YA JAMII



Aliyesimama wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai ndugu M.O.Humbe akielezea jambo katika Baraza lililofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri.





Katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Mh Clement Kwayu akizungumza katika Mkutano wa Baraza la Halmashauri.Mwenyekiti huyu amesisitiza sana juuu ya umuhimu wa bima ya afya ya jamii kwa wananchi na kutaka uhamasishaji zaidi ufanyike.







Baadhi ya wajumbe wa Baraza na wataalam wa Halmashauri ya Wilaya wakifuatilia kwa makini Baraza la Halmashauri






No comments:

Post a Comment